资讯

KIUNGO mbunifu wa Manchester United, Bruno Fernandes amesema timu hiyo inapaswa kufanya usajili wa mastaa wengine zaidi kabla ya msimu mpya kuanza.
MWENYEKITI wa klabu ya Tottenham Hotspur, Daniel Levy amesema uchunguzi wa madai ya Manchester City kufanya udanganyifu ...
KOCHA wa zamani wa Taifa Stars, Marcio Maximo ameonyesha furaha na matumaini makubwa kwa timu hiyo baada ya kuonyesha kiwango ...
KUNA swali moja gumu kuhusu makocha wazawa, ni kipi kimewakumba hadi kushindwa kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Bara?
MASHUJAA imeshinda vita ya kumwania mshambuliaji Ismail Mgunda aliyekuwa akihitajiwa na Singida Black Stars na mabosi wa ...
MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Jonathan Sowah ameshaanza mazoezi akiwa na kikosi cha timu hiyo kilichopo Misri, lakini kuna beki ...
MABOSI wa JKT Tanzania wamedaiwa kuweka ngumu kumruhusu kipa wa timu hiyo, Yakoub Suleiman kujiunga na Simba iliyopiga kambi ...
YULE bundi bado anaendelea kulia kwenye mkataba wa winga Mkongomani wa Yanga, Jonathan Ikangalombo na wakati wowote anaweza ...
Hukumu ya rufaa ya Kocha Listoni Katabazi dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF), kupitia bodi yake ya wadhamini, ...
KUWASILI Kwa Jorrel Hato kwa ada ya Pauni 37 milioni kwenye kikosi cha Chelsea kimefanya miamba hiyo ya Stamford Bridge ...
KOCHA wa Newcastle United, Eddie Howe amesema straika Alexander Isak atapaswa kupambana kwelikweli kurudi kwenye mazoezi ya ...
NYOTA wa Al-Talaba SC ya Iraq, Simon Msuva ameweka wazi matumaini yake kwa Taifa Stars, huku akisisitiza huu ndiyo wakati wa ...